TATIZO LA KUFA GANZI NA KUWAKA MOTO KWA MIGUU.
" 🍮KUWAKA MOTO AU KUFA GANZI MIGUU /MIKONO🍮-
🍬(FOOT/PERIPHERAL NEUROPATHY) ni nini🍬 ?
🍯"Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili Kushindwa kushika au kunyanyua Kitu , Kuchoka kwa misuli na kadhalika.
🍯Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na hivyo kupoteza uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.
🍯Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:
🍯 * Kupungua kwa virutubisho mwilini,hasa mkusanyiko wa vitamini B,(Vitamin B Complex).
🍯* Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi.
🍯 * Uzito mkubwa wa mwili.
🍯* Ugonjwa wa kisukari(diabetic neuropathy).
🍯* Shinikizo la damu.
🍯 * Unywaji wapombe kupita kiasi.
* Magonjwa ya figo.
🥞Habari njema ni kuwa hilo ni jambo linalotibika na utarudi kwenye hali yako ya kawaida, na kurudisha afya Yako Kama Zamani.
🥫KWA MSAADA ZAIDI NA WA HARAKA TUPIGIE🥫 :-
📞Kupitia Simu namba 👉 0675601966.
🍘 TAFADHALI : USISAHAU KU SHARE.🍘
No comments