MAGONJWA YA FIGO:
Afya.Kufeli kwa Figo. |
🌹 *MAGONJWA YA FIGO*🌹
Kuna aina mbalimbali za magonjwa ya figo, ikiwemo mawe kwenye figo n.k tutayachambua zaidi madarasa yajayo, leo wacha tuangalie vitu baadhi,
🌹 *VITU VANAVYOCHANGIA FIGO KUHARIBIKA*🌹
🔨Kisukari,watu wenye shida ya Kisukari wanauwezekano mkubwa sana wa kupata magonjwa ya figo,
🔨Presha,watu wenye matatizo haya pia wapo kwenye hatari kubwa ya kupata magonjwa ya figo
🔨 Unywaji wa pombe kupita kiasi,,asee hii ni hatari zaidi,ikiwa pombe ukiinywa huwa inasababisha ukojoe Mara kwa Mara kama mbwa anayeweka alama njiani ili asipoteee maana hukojoa Mara kwa Mara , pombe huilazimisha figo ifanye kazi Mara kwa Mara ya kuchuuja
🔨Matumizi ya chumvi nyingi,hasa kwenye chakula ,ulikuwa hauijui hii? Nifuate inbox nikwambie kikemia zaidi
🔨Matumizi ya vitamic C au ascorbic acidic kama hauelewi vizuri niulize, kuna watu huwa wanapenda Phamacy kuulizia vidonge vya vitamini hii ni hatari pale unapokuwa unazidisha vitamini C
🔨Kutokunywa maji ,hili ni kwa watu wengi,wamezoea kunywa maji mpaka asikie kiu' kwani haujui umhimu wa maji rafiki Yangu? Kumbaka maji ni robo tatu ya mwili wetu, na kitaalamu, mwanaume unatakiwa kunywa angalau Lita 3.7 na mwanamke ni Lita 2.7 hii ni kwa sababu za kibaiolojia
🔨kula nyama za organi za wanyama kwa wingi,kama vile ,Moyo,ini, figo,ubongo,n.k kama hauelewi niulize nikueleweshe zaidi
*DALILI ZA MAGONJWA YA FIGO*🌹
🔨 kukosa hamu ya chakula
🔨Uchovu
🔨kukosa usingizi
🔨kuvimba miguu na fundo za miguu
🔨 kuongezeka Uzito au kupungua zaidi!
Sasa basi natumaini kuwa umejifunza mengi,tukutane kipindi kujacho,endapo unashida yoyote ya kiafya usisite nipo kwa ajili yako,niulize nitakusaidia
🌷AFYA YAKO FAHARI YANGU🌷
Afya bora
Mr.Konstaino
📞0675601966
Nakutakia Asubuhi njemaa bye bye___
No comments