MZUNGUKO WA DAMU:

🛑 *FAHAMU MZUNGUKO WA DAMU NA CHANGAMOTO ZAKE KAMA GANZI,PRESHA,MWILI KUWAKA MOTO,NGUVU ZA KIUME,KIHARUSI,KISUKARI,MAUMIVU,UCHOVU, NA MENGINE MENGI* Mzunguko Wa damu unahusisha; 1.MOYO 2. MISHIPA YA DAMU 3. SELI ZA MWILI *KAZI ZA MZUNGUKO WA DAMU* 1. Kusafirisha damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili 2. Kufikisha virutubisho kwenye seli na tishu za mwili 3. Kuondoa taka mwilini kama CO2,urea na vitu vingine kama sumu mbalimbali mwilini. *AINA YA MZUNGUKO WA DAMU* 1. MZUNGUKO WA MOYO NA SEHEMU ZA MWILI ( Systemic circulation). -Kwa mfano Moyo na Miguu, mikono,kichwa n.k 2. MZUNGUKO WA MOYO WENYEWE(CORONARY CIRCULATION) - Huu unafanyika kwenye Moyo wenyewe 3. MZUNGUKO WA DAMU KWENYE MAPAFU( PULMONARY CIRCULATION). Huu hufanyika kutoka kwenye Moyo kwenda kwenye mapafu na kimyume chake ni sahihi. *VITU VINAVYOATHIRI MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU.* 1. Uvutaji Wa sigara 2. Ulevi 3. Unene kupita kiasi 4. Ukosefu Wa mazoezi 5. Uhaba Wa virutubisho kama madini ya zinc na calcium 6. Msongo Wa mawazo 7.Vyakula Vya mafuta na kemikali mbalimbali kama pizza,soda,keki,n.k *Madhara ya vitu vinavyoathiri mzunguko wa damu* Shida kubwa inayotokea ni Kuziba kwa mishipa ya damu ambapo husababisha yafuatayo 1. Mgonjwa ya Moyo(Coronary heart diseases) kama Moyo kuwa mpana,kwenda mbio,kifua kubana,Maumivu makali ya kifua( angina).presha ya kupanda na kushuka,stroke( kiharusi). Mengine ni Miguu Kuwaka moto,Maumivu ya viungo,misuli kukaza,macho kupata shida,Maumivu wakati wa Hedhi,n.k *KAZI MUHIMU ZA DAWA YETU Fahamu kazi za micro2 cycle iliyotengenezwa kiasili kwa ajili ya matatizo ya mzunguko Wa damu. Imetengenezwa kwa *radix panax notoginseng,radix salvia miltiorrhiza,borneolum syntheticum* 1.KURUDISHA NA KUUFANYA MZUNGUKO WA DAMU UFANYE KAZI YAKE VIZURI 2. KUFIKISHA DAMU NA VIRUTUBISHO SEHEMU HUSIKA 3. KUONDOA TAKA NA SUMU MWILINI. Sasa wakati micro2 cycle inafanya hizo kazi hapo juu itasaidia kutibu yafuatayo. 1.Maumivu ya Miguu Kuwaka moto 2. Kuwezesha kumbukumbu 3. Kuwezesha masikio kufanya kazi vizuri( huondoa milio maskioni)-ringing 4.Maumivu ya viungo 5.kuondoa shida ya maji kujaa mwilini(edema) 6.Huondoa aleji 7.Husaidia kupunguza sukari kwa watu wenye Kisukari 8.Kumfanya mtu kuwa mwepesi 9.Kukinga na stroke ( kiharusi) 10.kutanua mishipa ya damu 11.Kuondoa matatizo ya Maumivu ya kifua( angina) na kubana kwa kifua 12. Kuondoa tatizo la kukosa usingizi 13. Kurekebisha tatizo la kihisia 14. Kuweka presha kuwa sawa 15.Kuzuia shambulio la moyo ( heart attack). 16.Kutibu Maumivu ya mgongo 17.Kutibu maradhi ya ini,figo,na mapafu 18. Kuondoa seli zilizokufa mwilini 19.Kuwasaidia watu wenye pumu(asthma) na TB 20.Kuondoa msongo wa mawazo 21.Kuondoa mafuta mabaya mwilili( bad cholesterol). 22.Kuwezesha damu kupita kwenye mishipa midogo sana 23.Inaondoa kuganda kwa damu kwenye mishipa (blood clot) 24. Inaondoa Uvimbe 25. Inasaidia mwili kujiponya wenyewe( self healing mechanism of the body). 26.Inaondoa tatizo la usahaulifu 27.Inaondoa Ganzi mwilini 28.Inaondoa kupooza kwa mwili 29.Inaondoa tatizo la ugumba kwa jinsia zote Note: Hapa ni kwa wale ambao mzunguko wa damu hauko sawa kwenye mfumo wa Uzazi kwa wanawake na wanaume. Pia kuwezesha Afya ya Tezi ya wanaume( Tezi dume na homoni ya testosteroni?) 30. Inawezesha kupona haraka watu waliovunjika mifupa 31. Inasaidia kuilinda mishipa ya damu na misuli ya Moyo( cardiac muscles). 32.Inasaidia Kutibu matatizo ya ngozi 33. Inaufanya mwili kuchangamka na kujisikia unanguvu sana. 34 inaponya Vidonda kwa haraka sana. Hizi ni baadhi tu ya kazi za DAWA ( INJINI YA MOYO). MATUMIZI 3×3. Kabla ya kula *Note:* Ni vizuri iwekwe chini ya ulimi, usinywe na maji kuipeleka tumboni Usitumie pamoja na aspirini. Mama mjamzito na anaye nyonyesha hatakiwi kutumia. Wenye Vidonda Vya tumbo hawaruhusiwi kutumia *KWA MSAADA NA MAWASILIANO ZAIDI KARIBU INBOX* 📲 0675601966. 🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏.

No comments

Powered by Blogger.