UGONJWA WA PRESSURE (SHINIKIZO LA DAMU).
UGONJWA WA PRESSURE (SHINIKIZO LA DAMU ) NA MATIBABU YAKE
*Nini maana ya shinikizo la damu*?
👉 Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu.
*Shinikizo la damu husababishwa na nini?*
✍️Vitu vifuatavyo vinaweza kusababisha shinikizo la juu la damu
- Uvutaji sigara
- Unene na uzito kupita kiasi
- Unywaji wa pombe
- Upungufu wa madini ya potassium
- Upungufu wa vitamin D
- Umri mkubwa
- Ongezeko la kemikali kwenye figo (renin)
- Kushindwa kufanyakazi kwa kichocheo kiitwacho insulin
*Uanishaji wa shinikizo la damu
- Presha ya kawaida <120 <80
- Presha inayoelekea kupanda 120-139 80-89
- Presha hatua ya 1 140-159 90-99
- Presha hatua ya 2 160-179 100-109
- Presha hatua ya 3 ≥180 ≥110
👉 Shinikizo la damu/BP ni ugonjwa unaosumbuwa watu wengi sana duniani na hii ni kutokana na kutokujuwa ni nini hasa husababisha ugonjwa huu mwilini. Shinikizo la damu linaonekana kuwa ni ugonjwa wa kuishi kwa kufuata masharti.
*✍️Dalili za shinikizo la damu*
- Maumivu ya kichwa (Haswa nyuma ya kichwa mara nyingi nyakati za asubuhi),
- Kuchanganyikiwa,
- Kizunguzungu,
- Kelele sikioni (Mvumo au Mazomeo masikioni),
- Kutoweza kuona vizuri au
- Matukio ya kuzirai.
- Uchovu/kujisikia kuchokachoka
- Mapigo ya moyo kwenda haraka
- Kutokuweza kuona vizuri
- Damu kutoka puani
Uonapo dalili hizi unapaswa kuwahi Hospital
*✍️Madhara yanayoweza kuletwa na shinikizo la damu*
- Kuzibika kwa ateri za moyo na ateri ziendazo kwenye ubongo
- Shambulio la moyo (heart attack)
- Mishtuko midogo midogo au mikubwa inayopelekea kuzimia
- Ugonjwa wa kibofu cha mkojo
- Kiharusi
- Kupungua kwa nguvu za kiume kwa upande wa wanaume
- Kuharibiwa kwa ubongo na matatizo ya akili kama vile kupoteza kumbukumbu (Alzheimer).
-MATIBABU:Tunatibu ugonjwa wa pressure kwa kutumia tiba asili zenye viinilishe vitokanavyo na mchanganyiko wa mimea ya asili,na pressure inarudi kuwa kawaida Kama inavyotakiwa kiafya.
Kwa matibabu na ushauri karbu tuko Tanzania bara na visiwani🤝🤝🤝
Wasiliana nami kupitia namba ,0675601966.
BF SUMA BRIGHTER LIFE BETTER FUTURE
No comments