UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI.


 *UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE*

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

➑️CHANGO la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke ambapo humsababishia maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au mimba kuharibika kila zinapoingia.

✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️


➑️Zipo aina nyingi za chango ambazo zinaweza kujitokeza kila moja peke yake au zikajikusanya na kujitokeza kwa pamoja, mkusanyiko huu ndiyo unaitwa *Ovulation Disorder(O.D)*


*CHANZO CHA TATIZO*


➑️Matatizo ya chango la uzazi, inatokana na vifuko vya mayai ya uzazi (ovaries) kutokuwa na uwezo wa kuzalisha mayai na kufanya yakue kwa wakati muafaka. 

➑️Mwanamke mwenye matatizo haya hushindwa kuwa na siku za hatari za kunasa ujauzito na kama zipo basi huwa hazina mpangilio unaoeleweka.


➑️ Yawezekana mwanamke mwenye tatizo hili akawa na uwezo wa kuzalisha mayai lakini yakashindwa kukomaa au hata yakikomaa yakashindwa kusafiri kwenye mirija ya uzazi kwenda kukutana na mbegu za uzazi za kiume kwa ajili ya kurutubishwa.


⏩Tatizo hili huanzia kwenye ubongo, ambapo sehemu inayohusika na uzalishaji wa homoni hushindwa kufanya kazi yake vizuri na hivyo kushindwa kudhibiti uzalishaji wa homoni za Follicle Stimulating Hormone (FSH) na Lutenizing Hormone (LH) ambazo ndizo zinazohusika na uzalishaji na uchavushwaji wa mayai ya mwanamke katika viungo vyake vya uzazi.


⏩Matumizi ya tumbaku ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kusababisha homoni za mwanamke kuvurugika na hivyo kupata tatizo hilo pia

⏩Kuziba kwa mirija ya uzazi, maambukizi katika via vya uzazi(pid) na kufunga kwa shingo ya kizazi ni sababu nyingine za tatizo hili.


⏩Chanzo kingine cha tatizo hili ni Hyperplo-lactinemia ambapo mwili wa mwanamke huzalisha homoni ya Prolactin kwa wingi ambayo ikizidi katika damu, huzuia uzalishwaji wa homoni nyingine ya Oestrogen ambayo hutumika kuchochea uzalishaji wa mayai ya uzazi.


⏩Wanawake wenye uzito mkubwa wanatajwa kuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupatwa na chango la uzazi.


*DALILI ZA CHANGO LA UZAZI*


*Dalili za chango la uzazi kwa mwanamke ni pamoja na*


▢️kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi,

▢️ kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa,

⏩kujisikia homa kali anapokaribia siku zake za hedhi pamoja na kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.

▢️kuvugika kwa mzunguko wa hedhi ni dalili nyingine ambapo mwanamke anaweza kuwa na mzunguko mrefu wa hedhi wa zaidi ya siku 35 na pia kubadilikabadilika kwa siku za hedhi au kuwa na mzunguko mfupi wa hedhi chini ya siku 21.

▢️Dalili nyingine ni mwanamke kuwa na hasira kali anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi, 

▢️kupata michubuko kwenye sehemu zake za uke, ▢️kuchukia kushiriki tendo la ndoa, 

▢️kupata uvimbe kwenye kizazi na kupelekea mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.


*MADHARA YA CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE*


Yapo madhara mengi kwa mwanamke mwenye tatizo hili lakini kubwa, huwa ni vigumu kupata ujauzito na hata pale anaponasa ujauzito, huharibika na kutoka kwa urahisi na kushindwa kufurahia tendo la ndoa ambapo huwa vigumu sana kwa mwanamke mwenye tatizo hili kufika kileleni wakati wa tendo


*MATIBABU,*

Hakuna dawa za moja kwa moja zinazoweza kutibu tatizo hili hospitalini, ambapo zilizopo nyingi huwa ni za kurekebisha mfumo wa homoni mwilini, kama mwanamke amepata uvimbe, atapewa dawa za kuondoa uvimbe au kufanyiwa upasuaji na kama anapata maumivu makali kabla na wakati wa hedhi, atapewa dawa za kumaliza tatizo hilo.

▢️Wanawake wengi wanaotumia tiba za hospitali wamekuwa wakiripoti kujirudia kwa tatizo hili baada ya muda mfupi hivyo ni vyema ukatumia virutubisho vyetu asilia vya *REFINED YUNZI PAMOJA NA ZAMINOCAL PLUS* ambavyo vitakwenda kutibu chanzo cha tatizo lako na kuweza kulimaliza kabisa


✳️✳️✳️✳️✳️✳️✳️✳️✳️✳️✳️✳️✳️

Na pia kama unasumbuliwa na changamoto mbali mbali za uzazi na unahitaji ushauri na tiba wasiliana nasi kupitia namb..

Kwa mawasiliano zaidi piga 0675601966.

No comments

Powered by Blogger.