UGONJWA WA U.T.I


 *IJUE U.T.I*


*Maambukizi ya Mfumo wa Mkojo*


Mfumo wa mkojo huundwa na figo, njia ya mkojo inayotoka kwenye figo hadi kwenye kibofu(yureta),kibofu cha mkojo na njia ya mkojo inayotoka kwenye kibofu hadi nje ya mwili(yurethra).Maambukizi ya bacteria huweza kuathiri sehemu yoyote ya mfumo huu. Maambukizi ya mfumo wa mkojo ni ya pili ukiangalia maambukizi yote ya mwili.


*_Dalili za maambukizi ya mfumo wa mkojo ni zipi?_*


Dalili hutofautiana kulingana na ukali wa maambukizi,umri na sehemu iliyoathirika.


Dalili zinazojitokeza mara nyingi pakiwa na maambukizi (UTI):


🔘Uchungu au kuwashwa unapokojoa.


🔘Kuhisi kukojoa mara nyingi.


🔘Homa na uchovu .


🔘Mkojo wenye harufu mbaya na si safi (cloudy)


*KUMBUKA*

Ugonjwa huu ni wa jinsia zote yaani jinsia ya *KIUME na KIKE*


*TIBA KUTOKA BF SUMA*


Kwa Mwanamke ni *FEMICARE*


Kwa mwanaume ni *PROSTATRELAX*


JIKINGE NA KUJITIBU NA *UTI*

*Wasiliana nasi WhatsAapp no 0675601966*


*@AFYA KWANZA*

No comments

Powered by Blogger.