TATIZO LA KUFA GANZI KWA MIKONO NA MIGUU;
TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO(MIGUU KUWAKA MOTO NA TI
Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote
NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI
1:UMRI
Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kufa, au kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali kama miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea
2:KISUKARI
Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguuko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu halo hii husababisha mishipa kusinyaa ambalo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufadsaha maeneo ya mbali sana kama miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi
3:DAMU NZITO
Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia
TIBA YA GANZI
MICRO 2 CYCLE
-Hii ni dawa asili ya kupambana na tatizo hili bila madhara
-Imetengenezwa na mitishamba mitatu yenye uwezo mkubwa sana wa kufungua mishipa midogo midogo ya damu ambayo inapoziba au inapokua ndio chazo cha tatizo hili
-Huzuia damu isivilie kwenye mishipa hivyo huondoa hatari ya kiharusi
-Huiuisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupiga
ZAMINOCAL
-Inafaa sana kuifanya damu Iwe nyepesi hivyo husaidia kuondoa tatizo la ganzi kama ikitumika pamoja na Micro 2 cycle
Yunzi
Inasaidia wakina mama wenye, hedhi vimbe kwenye uzazi.
Kwa maelezo zaidi wasilian nami kupitia namba 0675601966
No comments